Tuesday, March 18, 2014



Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa clouds fm kipindi cha ala za roho, kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusiano…..Jana usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji Elizabeth Michel aka Lulu “Kutoka moyoni nampenda sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumu approach, sema mimi ni mwanamke tu”.

Hii ilikuwa kabla ya kucheza wimbo wa atatamani ambayo ni version ilioimbwa Lulu. Wimbo halisi uliimbwa na Linnah msanii kutoka THT



Back in days .Diva kupitia account yake ya instagram aliwahi kupost picha hii ambayo ilizua utata….sasa baada ya kumsikia nikashindwa kumuelewa…Jionee mwenyewe…then achia comment!

 

0 comments:

Post a Comment