Friday, March 21, 2014


Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mh. Samuel Sitta akimkaribisha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma ili kulihutubia na kuzindua Bunge Maalum la Katiba leo jioni.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Mke wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere na Mke wa Rais wa Awamu ya pili Mama Siti Mwinyi wakisiliza kwa makini hotuba ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete bungeni Dodoma leo.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni akishangilia wakati Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Bunge Maalum mjini Dodoma leo.
(PICHA ZOTE NA IKULU)

0 comments:

Post a Comment