Thursday, March 6, 2014

MAUNO YA MKE WA MTU YALETA SHIDAA...!!!

Jamani nimeshindwa kuvumilia mapenzinayopewa na huyu mtoto wa kichaga, ingawa ni kweli mke wa mtu mume wa huyu dada ni mtu wa kusafiri sana mikoa mbali mbali kwa biashara zake.

Tatizo limekuja pale napomwambia tuachane kwa vile ni mke wa mtu hataki hata kusikia, first timenimemtokea akanambia yupo single girl ila baaada ya siku nikawa nimegundua ni mke wa mtu.
Jamani na mimi nimedata mbaya kwa kweli cause hata min kabaaang ananipa tuu hana choyo mtoto wa watu, je nifanyaje nimwache?

0 comments:

Post a Comment