Thursday, March 6, 2014



WAtaalam wa magonjwa ya kina mama na watoto wamebainisha madhara ambayo yanaweza kuwapata kina mama na wasichana wenye tabia ya kuvaa nguo za ndani wakati wa kulala,.
maumbile ya kike yanahitaji kupumua ili kuzuia maambukizi kama vile fangasi ndio maana madaktariwanashauri kulala bila nguo au kuvaa vinguo vyepesi Dr. Grace Obong, anasema ya kwamba wakati wa mchana wanawake pia huvaa chupi mbalimbali na nguo za kubana ambazo ufanya sehemu zao za siri kupumua kwa shida sana, anaendelea kwa kusema kuwa ingawa inashauriwa wanawake kuvaa material aina ya pamba lakini wanawake wengi hawapendelei kabisa aina hiyo ya nguo za ndani hivyo ni muhimu wakati wa kulala usiku kuacha maumbile yapumue vizuri... dr huyo anashauri kuvaa boxer pamoja na pajama.
Baadhi ya magonjwa au maambukizi yatokanayo na ukiukwaji wa mambo yaliyoelezwa hapo juu ni pamoja na
Bacterial vaginosis

maumbile yakike yameumbwa kuwa na bacteria ambapo ubalance bactria wazuri ni wengi ukilinganisha na bacteria wazuri maambukizi yaitwayo Bacterial vaginosis utokea pale mlingano huu unaposhindwa kubalansi mwanamke mwenye maambukizi upata adha ya kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya na pia wachache ulalamika kupata harufu ya shombo la samaki mara baada ya tendo landoa majimaji hayo yanaweza kuwa na rangi ya maziwa au grey na dalili zngine ni kuungua wakati wa kukojoa magonjwa mengine ni kama yeast infection na mengine mengi.. dr anamaliza kwa kusema ni mda wa kulala natural na kuepuka unyevu unyevu uso kuwa wa lazima huko chin

0 comments:

Post a Comment