Tuesday, March 18, 2014



Kama nusu saa iliyopita diamond ameweka picha hiyo hapo juu ya wema akiwa hana nywele yani kipara. Kama ulipitwa na story ya picha 5 za wema akiwa kanyoa kipara zicheki >>>>hapa<<<<Katika picha hiyo hapo juu Diamond aliandika maneno haya "So someone decided to go Bald...Lol! ��...what can i say, i love her either way... #Mahaba_niue #Kipara_ninyonge" kweli Diamond kafa kaoza usubiri ndoa


CREDIT BONGOCLAN

0 comments:

Post a Comment