Friday, March 21, 2014



Stori: Imelda Mtema
MKALI wa sinema za Kibongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa anaogopa kuzaa kwa sasa kwani bado hajajipanga sawasawa.
Mkali wa sinema za Kibongo, Jacquline Wolper.
Akizungumza na paparazi wetu, Wolper alifafanua:
“Naogopa kuharakisha kuzaa, nisije nikazaa halafu mtoto akawa chokoraa, acha nijipange kwanza"

0 comments:

Post a Comment